WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI

WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
kiungo : WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI

soma pia


WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI

- Mkandarasi asiyeanza kazi ifikapo Machi 2 kukiona cha moto
- Viongozi TANESCO, REA wawasilishe taarifa kila robo mwaka

Na Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na watendaji mbalimbali wanaosimamia na wanaotekeleza miradi ya awamu ya tatu ya kusambaza umeme vijijini na kutoa maagizo mazito yanayolenga kufanikisha mradi huo kikamilifu.
Mkutano huo uliofanyika mwishoni mwa Juma, Januari 13 mwaka huu, Makao Makuu ya Wizara mjini Dodoma, ulihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.
Akizungumza katika mkutano huo, Waziri Kalemani alitoa maagizo kwa wajumbe ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa nguzo, transfoma na nyaya za umeme, wakandarasi wanaotekeleza mradi husika katika maeneo mbalimbali nchini na wataalam wanaosimamia utekelezaji wa mradi huo kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake ipasavyo.
Kwa upande wa wakandarasi, Dkt. Kalemani aliwaagiza kuhakikisha kila mmoja anaanza utekelezaji wa kazi halisi (physical work) kabla ya tarehe 2 Machi mwaka huu vinginevyo Serikali itawachukulia hatua za kisheria. “Asiwepo mkandarasi yeyote ambaye atakuwa hajaanza kazi baada ya tarehe hiyo, alisisitiza.”
 Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongoza kikao baina yake na wadau mbalimbali wanaotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini awamu ya tatu. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Haji Janabi.
 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (aliyesimama) akizungumza wakati wa Mkutano na wadau mbalimbali wanaotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini awamu ya tatu. Kushoto kwake ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.
 Wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini awamu ya tatu, wakielezea hatua waliyofikia katika utekelezaji wake katika kikao baina yao na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Dodoma mwishoni mwa Juma.
 Sehemu ya wajumbe wakiwa katika Mkutano wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani na wadau mbalimbali wanaotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini awamu ya tatu, Dodoma mwishoni mwa Juma.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI

yaani makala yote WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-kalemani-atoa-maagizo-mazito-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAOTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI"

Post a Comment