title : MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA
kiungo : MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA
MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za wafanyakazi wa serikali baada ya kupata saruji mifuko 200 kutoka kwa Mohamed MO na Hoza Farm naye amempa mifuko mingine 100
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiwa kwenye harakati za kufyetua matofali hayo |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akibeba tofali mara baada ya kulifyetua |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiendelea na kazi |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu mwenye shati za njano akishiriki kufyatua matofali na viongozi wa CCM Korogwe Vijijini
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiwa amebeba tofali mara baada ya kulifyetuaa(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Hivyo makala MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA
yaani makala yote MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbunge-maji-marefu-awa-gumzo-ashiriki.html
0 Response to "MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA"
Post a Comment