WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA

WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA
kiungo : WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA

soma pia


WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA



Na. Jumbe Ismailly, Hanang 

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hanang,Mkoani Manyara,Bryceson Kibassa amepiga mafuruku walimu wa shule za msingi kuwatoza wazazi na walezi wa watoto michango ya aina yeyote ile na kuwahakikishia kwamba hakuna mtoto wa wilaya hiyo atakayetakiwa kukosa elimu kwa kisingizio cha kutolipa michango.

Mkurugenzi huyo alitoa tahadhari hiyo kwenye mkutano maalumu wa Baraza la madiwani lililokutana kupitisha mapendekezo ya makisio ya mpango na bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019 uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo.
Akifafanua kuhusu mpango wa elimu ya msingi bila malipo Kibassa alisisitiza kwamba kusiwepo na mtoto yeyote Yule wa Hanang ambaye atashindwa kwenda kusoma shule kwa kisingizio wa mchango wa aina yeyyote ile.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo michango inayoruhusiwa ni ile tu ya kijamii wanayokubaliana kwa ajili ya kuboresha miundombinu bila kugusa ile michango ambayo kwenye waraka inatajwa kwamba msichangishe,isiwe kikwazo cha kuzuia mtoto yeyote kwenda shuleni.

“Tunataka watoto wote wa Hanang kwa agizo na Mheshimiwa Rais na agizo la serikali ya awamu ya tano watoto wote wawepo shuleni na kusijekuwa na mchango wa aina yeyote unaozuia mtoto wa Hanang kwenda shuleni.”alifafanua Mkurugenzi huyo.



Hivyo makala WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA

yaani makala yote WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wazazi-na-walezi-hanang-watakaokwamisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA"

Post a Comment