title : watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot
kiungo : watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot
watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot
Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni wakati wa kuwatambulisha na kuwakabidhi hundi zao washindi watatu wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot),mchezo huo ulifanyika mwishoni mwa wiki.Maganga amewaomba Watanzania kuendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kucheza mchezo huo,kwani umekuwa ukiwakwamua wengi waliobahatika na kuwa wafanyabiashara/wajasiliamali wazuri na vipato vyao vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku.
Pichani kati ni Lucas Swebe akitoa ushuhuda wa namna alivyojishindia fedha taslimi Milioni tano katika mchezo wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot),Pichani kulia ni mshindi mwingine aitwaye Mrisho Maganga aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22 pamoja nae (kutosho) ni Daniel Mwachali ambaye naye alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22.
Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka Sebastian Maganga akimkabidhi mfano wa hundi ya Milioni 22,Danie Mwachali aliyojishindia kwenye mchezo wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot) uliofanyika mwishoni mwa wiki.
Hivyo makala watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot
yaani makala yote watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/watatu-walamba-mamilioni-ya-tatumzuka.html
0 Response to "watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot"
Post a Comment