Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito

Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito
kiungo : Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito

soma pia


Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito

https://i.ytimg.com/vi/2yN5-ZXS9IE/maxresdefault.jpg
JESHI la Polisi mkoani Dodoma,  baada ya kumkamata na kumfanyia mahojiano Onesmo Machija (44) anayejiita ‘nabii’ Tito, kutokana na mahubiri ya kidini anayoyafanya, limesema mtu huyo ana  matatizo ya akili.

Akizungumza na wanahabari mjini Dodoma leo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gillesi Muroto, amesema mnamo Juni 23, 2014, mtu huyo aliwahi kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu ya akili chini ya daktari aliyejulikana kwa jina moja la William ambapo aliporuhusiwa alitakiwa kurejea hospitalini hapo Julai 9 mwaka huohuo lakini hakurejea.

http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2018/01/23145929/POOO-660x400.jpgKamanda Muroto aliendelea kusema kwamba baada ya hapo, Machija ambaye kanisa lake halijasajiliwa popote,  aliibukia mkoani Dodoma katika kijiji cha Nong’ona kilicho karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) akifanya  mahubiri ya kidini yaliyodaiwa kuwa hayakuwa na maadili ya kidini.

Kwa msingi huo, alisema jeshi la polisi limempeleka Hospitali ya Rufaa ya Mirembe iliyoko mkoani Dodoma  kwa ajili ya kumpima tena matatizo hayo ya akili na baada ya majibu kutolewa,  Dkt. Dixon Philipo aliyemshughulikia alithibitisha kwamba bado ana matatizo hayo.

Pamoja na hayo, Muroto alisema jeshi la polisi mkoani humo  bado linaendelea kumshikilia kutokana na matendo yake aliyoyafanya ili kufanya uchunguzi zaidi.
 http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2018/01/23145929/POOO-660x400.jpg


Hivyo makala Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito

yaani makala yote Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/walichokibaini-polisi-baada-ya-kumhoji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Walichokibaini Polisi baada ya kumhoji ‘Nabii’ Tito"

Post a Comment