YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
kiungo : YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

soma pia


YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na ushahidi wa upande wa utetezi dhidi ya kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji kwa kuwa Hakimu anayeendesha kesi hiyo anamajukumu mengine ya kiofisi.

Kutokana na hayo, kesi hiyo sasa itasikilizwa kwa siku tatu mfulukizo, Septemba 25, 26, na 27 ambapo mashahidi wa utetezi watafika kutoa ushahidi wao kwa kuanza na Manji. Wakili wa Serikali Mwandamizi Timon Vitalis ameileza mahakama kuwa, kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kusikiliza shahidi wa upande wa utetezi ambapo Manji mwenyewe alitakiwa kuanza kujitetea lakini kutokana na kuchelewa kuanza asingeweza kuendelea kwa kuwa anasafiri kikazi.

Hakimu Cyprian Mkeha alimuuliza Manji kwa nini alichelewa kufika na hali alitakiwa kufika asubuhi ya saa tatu, alisema kuwa aliambiwa na wakili wake kuwa Hakimu ameenda kwenye kikao Mahakama kuu na hakujua kama amerudi mapema.

"Samahani mheshimiwa niliambiwa haupo, nikadhani haujarudi, samahani sana Mheshimiwa" amesema Manji.

"Ni kweli, nilienda kwenye kikao Mahakama kuu lakini nilirudi mapema na sasa natakiwa kwenda tena huko" amesema Mkeha.
 Yusuf Manji akiwasili Mahakani hapo kusikiliza kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya.
Yusuf Manji azungumza na Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub nje ya Mahakama ya Hakumu Mkazi Kisutu, Mchana huu.


Hivyo makala YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

yaani makala yote YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/yusuf-manji-kuanza-kujitetea-septemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YUSUF MANJI KUANZA KUJITETEA SEPTEMBA 25, KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA"

Post a Comment