title : TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka
kiungo : TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka
TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka
Aliyekuwa mtangazaji wa muda mrefu wa Radio Free Africa, Zuberi Msabaha amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano Januari 10, 2018, huko jijini Mwanza.
Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu huku akipatiwa matibabu yake sehemu tofauti tofauti hapa nchini. Msiba wake upo Mabatini jijini Mwanza na mazishi yatafanyika Jumatano ya leo.
Marehemu Zuberi Msabaha alijijengea umaarufu mkubwa kupitia kipindi chake cha Bolingo Time kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RFA.
Zuberi Msabaha alikuwa mchambuzi mzuri sana wa muziki wa Dansi hasa muziki wa Kongo ambao mara nyingi unaimbwa kwa lugha ya Kilingala, Kikongo, kikasai, na Kifaransa.
Mungu ailaze Mahali Pema Peponi Roho
ya mpendwa wetu Papa Zuberi Msabaha.
#darmpya
Hivyo makala TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka
yaani makala yote TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/tanzia-mpiganaji-wa-radio-free-africa.html
0 Response to "TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka"
Post a Comment