TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA

TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA

soma pia


TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA

TANZIA: Familia ya Bwana Sylvester Manase Matunda Lema, wa Sinza mkabala na kituo cha daladala Simu 2000 jijini Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, Bibi.Lulu Sylvester kilichotokea katika Hospitali ya Agha Khan tarehe 20/01/ 2018 majira ya saa 10;30 alfajiri.

Maandalizi ya mazishi yanafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza mkabala na kituo cha daladala Simu 2000. Mwili utaagwa Jumatano Januari 24, 2018 kuanzia saa 8 mchana Kanisani KKKT Usharika wa Sinza -Kumekucha. 

Mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya Alhamisi tarehe 25/01/2018 kuelekea Kijiji cha Nronga-Machame, wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.


Hivyo makala TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA

yaani makala yote TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/tanzia-bibi-lulu-akida-silvester.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA"

Post a Comment