Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira
kiungo : Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

soma pia

Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira. Kikao hicho kimejumuisha pia wajumbe kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambapo Mhe. Makamba amewasilisha taarifa ya Utekelezaji wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kulia) akifuatilia hoja za wabunge  katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira hii leo mjini Dodoma. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo na Naibu Katibu Mkuu Bi. Butamo Phillip.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira hii leo mjini Dodoma.
 Sehemu ya waheshimiwa wabunge, Mhe. Mussa Ramadhani Sima na Mhe. Anatropia Lwehikila Theonest wakifuatilia mawasilisho juu ya Utekelezaji wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini, katika kikao cha Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira mjini Dodoma.

Hivyo makala Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

yaani makala yote Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-makamba-akutana-na-kamati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira"

Post a Comment