RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
kiungo : RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

soma pia


RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

Mwambawahabari
Tokeo la picha la picha za mke wa Kingunge Ngombale

Ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Peres Kingunge Ngombale Mwiru(Mama Kinje)


Jumatano tarehe 10/1/2018

- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.

-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)

******************************

Alhamisi tarehe 11/1/2018

-Saa 1:00 asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi waombolezaji kuwasili nyumbani Kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi.

-Saa 2:00 asubuhi mpaka saa 3:30 asubuhi Kupata kifungua kinywa/Chai Kwa waombolezaji wote

-Saa  4:00  asubuhi mpaka saa 7:00 mchana kuaga mwili wa marehemu(waombolezaji wote)

-Saa 7:15 mchana mwili kuelekea kanisa la St. Peter’s Oysterbay Kwa ibada(waombolezaji wote)

-Saa 7:30 mchana -8:30 mchana ibada ya kumuombea marehemu

-Saa 8:30 mchana mpaka 9:30 mchana  kuaga mwili wa marehemu Kanisani.

-Saa 9:45 mwili kuelekea makaburini Kinondoni.

-Saa 10:00 jioni 12:00 jioni shughuli  za mazishi( waombolezaji wote)

-Saa 12:00 - waombolezaji wote kuelekea nyumbani Kwa Mzee Kingunge victoria.

-Saa 1:00 usiku - saa 2:30 usiku kupata 

chakula cha jioni Kwa waombolezaji wote.




Tunawashukuru sana Kwa ushiriki wenu wa 

Hali na mali katika wakati huu mgumu

Mungu awazidishie sana.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏

Omary A. Kimbau( msemaji wa familia)


 Kinjeketile Ngombale Mwiru (kushoto) akiongea na marafiki waliofika kumfariji kufuatia kifo cha mama yake. Chini Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. Kheri Denis James akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru jijini Dar es salaam kutoa rambirambi zake. 


Mazishi ya mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Marehemu Peras Kingunge, yamepangwa kufanyika siku ya Alhamisi Janury 11, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam, msemaji wa familia Bw. Omari Kimbau ametangaza.


Hivyo makala RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

yaani makala yote RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/ratiba-rasmi-ya-mazishi-ya-mke-wa-mzee_86.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU"

Post a Comment