Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu

soma pia


Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumza na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo kuiongoza kwa kipindi cha miaka mitano.(Picha Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Dk. Ali Mohamed akiwa na mgeni wake Mwnyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund, akimshindikiza baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka, akitowa maelezo na kumtambulisha Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri James walipifika kwa mazungumzo na kujitambulisha Ikulu Zanzibar leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kitaifa wa UVCCM, baada ya mazungumzo yao na kujitambulisha Ikulu Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania (UWT) Thuwaiba Editon Kisasi alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar walipofika kujitambulisha.(Picha Ikulu)  


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-azungumza-na_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu"

Post a Comment