KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA.

KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA.
kiungo : KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA.

soma pia


KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA.

 Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mheshimiwa Lolensia Bukwimba akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo ambapo imekutana na uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa Taasisi hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakiwa  katika kikao cha Kamati hiyo ambapo imekutana na uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa Taasisi hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi  akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)wakati Kamati ilipokutana na Taasisi hiyo  kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa Taasisi hiyo.kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI, Profesa William Mahalu. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la wenye Viwanda Nchini (CTI).Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Mheshimiwa Sadiq Murad akikisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la wenye Viwanda Nchini (CTI).Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA.

yaani makala yote KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kamati-za-kudumu-za-bunge-za-zaendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA."

Post a Comment