title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Studio ya Kisasa ya Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Mapinduzi kutimia Miaka 54.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC Aiman Duwe akitowa maelezo wakati wa kutembelea Studio ya kurikodia baada ya uzinduzi huo, uliofanyika katika jengo la ZBC mnazi mmoja Zanzibar leo.
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan King akitowa maelezo ya vifaa vipya vilivyofungwa katika Studio hizo wakati wa ufunguzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza wakiwa katika Studio ya kurikodia katika jengo la ZBC.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mfanyakazi wa ZBC Chumba cha kurushia matangazo ya ZBC Fatma Abubakari akitowa maelezo jinsi ya urushaji wa picha wakati wa ufunguzi wa Studio Mpya za ZBC uliofanyika leo katika jengo lao Mnazi Mmoja Zanzibar.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-azinduzi-wa.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO"
Post a Comment