RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO

RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO
kiungo : RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO

soma pia


RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Wallace Karia ameteuliwa kwa mara nyingine na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi ya Morocco na Namibia kwenye fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN itakayochezwa kesho Jumamosi Januari 27, 2018.

Mbali na Rais Karia, Waamuzi watakaochezesha mchezo huo namba 22 utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mohamed V Casablanca ni Mahamadou Keita  kutoka Mali  atakuwa mwamuzi wa katikati akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja kutoka Msumbiji Arsenio Chadreque Maringula na mwamuzi msaidizi namba mbili akitokea Burkina Faso  Seydou Tiama wakati mwamuzi wa akiba ni Ghead Grisha  akitokea Misri.

Hii ni mara ya tatu kwa Rais Karia kuteuliwa kuwa kamishna wa mechi zinazoendelea za fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN.

Aliteuliwa kuwa kamishna wa mechi ya ufunguzi ambapo Morocco walicheza na Mauritania Januari 13, 2018 na kisha akateuliwa tena kuwa kamishna wa mechi ya Namibia dhidi ya Zambia ambayo ilichezwa Januari 22, 2018


Hivyo makala RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO

yaani makala yote RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-karia-ateuliwa-na-caf-kusimamia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS KARIA ATEULIWA NA CAF KUSIMAMIA MECHI YA CHAN KESHO"

Post a Comment