MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA

MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana aliwezesha kupatikana kwa shilingi bilioni moja na milioni mia saba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais aliwapongeza uongozi wa Wilaya ya Muheza na mkoa wa Tanga pamoja na wananchi kwa kuamua kujenga hospitali yao ya wilaya ili kuboresha hali ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Makamu wa Rais alisema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuimarisha ubora wa huduma za afya ikiwa ni pamoja na kupunguza idadi ya vifo vya watoto kutoka kiwango cha vifo 66 kati ya vizazi hai 1,000 hadi kufikia kiwango cha angalau vifo 40 kati ya vizazi hai 1,000. Aidha, Serikali imedhamiria kupunguza vifo vya wanawake wajawazito kutoka 556 kwa mwaka 2017 katika vizazi hai 100,000 hadi kufikia 292 ifikapo mwaka 2020.

Sambamba na hilo Serikali kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo tuna mkakati wa kujenga, kukarabati na kupanua miundombinu ya Vituo vya afya 208 ili kuimarisha utolewaji wa huduma mbalimbali za afya.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza  wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
  aziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizungumza wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
  Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akizungumza wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela(kushoto) akimkabidhi Makamu wa Rais zawadi mara baada ya kumalizika kwa zoezi la uchangiaji jana kwenye hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam​

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-afanikisha-uchangiaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA"

Post a Comment