RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar

RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar
kiungo : RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar

soma pia


RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein, akiwa na Viongozi wa Wizara hiyo Katibu Mkuu Meja Jenerali.Jocob G.Kingu na Naibu Katibu Mkuu Ndg. Kailima Ramadhan, leo Ikulu Zanzibar Novemba 19/11/2018.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, alipofika Ikulu Zanzibar na Viongozi wa Wizara hiyo kujitambulisha rasmin kwa Rais wa Zanzibar Dk. Shein leo Ikulu Zanzibar.Novemba 19/11/2018.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola, walipofika Ikulu Zanzibar kuona na Rais wa Zanzibar Dk. Shein, kwa kujitamulisha na kufanya mazungunzo leo Ikulu Zanzibar, novemba 19/11/2018. 
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Kangi Lugola, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo 19/11/2018.(Picha na Ikulu )  



Hivyo makala RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar

yaani makala yote RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-dk-shein-azungumza-na-waziri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar"

Post a Comment