Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba

Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba
kiungo : Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba

soma pia


Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme Jana mchana.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Maji Ardhi Mazingira na Nishati Mhe. Salama About Talib alipowasili katika Kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Usambazaji wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kisiwani Pemba ikiwa katika shamra shamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho huko Fundo Wilaya ya Wete.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu)



WANAFUNZI wa Madrasatul Hidaya Islamia ya Tumbe wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu)




Hivyo makala Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba

yaani makala yote Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/nishati-rais-wa-zanzibar-dk-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nishati : Rais wa Zanzibar Dk . Shein Azindua Umeme kisiwa cha Fundo Pemba"

Post a Comment