msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam

msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam
kiungo : msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam

soma pia


msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam

Nimepotelewa na binti yangu kwa  jina anafahamika kama KHADIJA ALLY mwenye umri wa miaka 14, mkaazi wa Kinondoni Vijana, Dar es salaam. 
Ametoweka katika mazingira ya kutatanisha tangia aage aende shule hatujamuona tena yapata wiki moja sasa, tangia Ijumaa iliyopita hajaonekana  nyumbani. 
Tafadhali atakaemuona atoe taarifa polis au anaweza kuwasiliana na namba zifuatazo:
shukran sana - Mdau wa Globu ya Jamii


Hivyo makala msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam

yaani makala yote msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/msaada-tutani-mdau-apotelewa-na-binti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam"

Post a Comment