title : Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
kiungo : Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Nkurlu leo amekutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro na kufanya mazungumzo kuhisu maendeleo na changamoto na fursa zilizoko Kahama.
Mr. Alvaro amemhakikishia Mh. Nkurlu kusaidia sekta za elimu, ajira kwa vijana na mimba za utotoni. Bw. Alvaro na timu yake watazuru Kahama mwezi February mwaka huu ili kujionea fursa zilizopo.
Hivyo makala Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
yaani makala yote Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mkuu-wa-wilaya-ya-kahama-akutana-na.html
0 Response to "Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini"
Post a Comment