Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo

Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo
kiungo : Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo

soma pia


Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Emmanuel Masonga wamerudishwa rumande hadi Januari 22, 2018 siku ya Jumatatu ambapo kesi yake itaanza kusomwa mfululizo.

Mbunge huyo wa Mbeya mjini na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa wanashikiliwa na jeshi la polisi wakituhumiwa kutenda kosa la uchochezi katika mkutano wao wa hadhara ambao ulifanyika Disemba 31, 2017 jijini Mbeya ambapo jeshi la polisi linasema kuwa viongozi hao walizungumza maneno yenye kuleta chuki kati ya Serikali na wananchi.

Mchana wa January 16, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijini Mbeya iliamuru Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Emmanuel Masonga wapelekwe rumande mpaka January 19 ambayo ni leo kwa kesi ya uchochezi.

Viongozi hao wamerudishwa rumande tena mpaka siku ya Jumatatu ambapo kesi yao itaanza kusomwa tena


Hivyo makala Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo

yaani makala yote Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mbunge-wa-mbeya-joseph-mbilinyi-sugu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu', amenyimwa dhamana tena na amerudishwa rumande hadi Jumatatu Ijayo"

Post a Comment