title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Wadau wa Mazingira kuhusu Changamoto ya Mafuriko na Hifadhi ya Mazingira katika mkoa wa Dar es Salaam, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano uliopo kwenye ofisi ya Makamu wa Rais mtaa wa Luthuli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Wadau wa Mazingira kuhusu Changamoto ya Mafuriko na Hifadhi ya Mazingira katika mkoa wa Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-akutana-na-wadau-wa_19.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment