JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto

JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto
kiungo : JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto

soma pia


JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto

 
 Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) ) Agnes Mtawa akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya funguzo za baadhi ya wodi zilizopo ndani ya  jengo la wodi ya watoto  ambazo Hospitali hiyo imezitoa kwa JKCI ili wazitumie kutokana na   uhaba wa wodi ya watoto walionao.
 Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) ) Agnes Mtawa akitoa maelezo kwa viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuhusu wodi zilizopo ndani ya jengo la watoto ambazo  Hospitali hiyo imezitoa kwa Taasisi hiyo  ili wazitumie kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.
 Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) ) Agnes Mtawa kuangalia wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi ya watoto ambazo  Hospitali hiyo imezitoa kwa Taasisi hiyo  ili waweze kuzitumia kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.
 Wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi za watoto ambazo  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imezitoa kwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  ili wazitumie kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.

Picha na JKCI



Hivyo makala JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto

yaani makala yote JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/jkci-yakabidhiwa-wodi-ndani-ya-jengo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JKCI yakabidhiwa wodi ndani ya jengo la wodi ya watoto"

Post a Comment