CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO
kiungo : CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

soma pia


CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

Ronaldo akipigwa kadi nyekundu.
Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kutocheza mechi tano kutokana na kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Barcelona, jana usiku.
Shirikisho la Soka la Hispania limemfungia Ronaldo michezo mitano huku moja kati ya mchezo huo ni fainali ya pili ya Super Cup dhidi ya Barcelona.


Akimsukuma refa.
Michezo mingine utakuwa dhidi ya Deportivo, dhidi ya Valencia dhidi ya Levante na wa mwisho utakuwa dhidi ya timu ya Real Sociedad na atarudo mwezi wa 9 kwenye mchezo dhidi ya Real Betis.
Akisikitika.

Mechi 5 ambazo Ronaldo atazikosa;
Barcelona- 16 Agosti
Deportivo- 20 Agosti
Valencia- 27 Agosti
Levante- 9 Septemba
Real Sociedad- 17 Septemba


Hivyo makala CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

yaani makala yote CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/cristiano-ronaldo-afungiwa-mechi-tano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO"

Post a Comment