KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Wachezaji wa Simba SC, Nicolaus Gyan na Asante Kwasi wakiwasili leo jijini Dar es Salaam kutokea visiwani Zanzibar  mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya  Kombe la Mapinduzi baada ya kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi A.
 Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi,  Shiza Ramadhani Kichuya akikataa kuzungumza na waandishi wa habari bandarini hapo mara baada ya kuwasili leo Jijini Dar es salaam akitokea visiwani Zanzibar  mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya  Kombe la Mapinduzi .
 Baadhi ya washabiki wa Simba SC wakishangilia mara baada ya timu hiyo ilipokuwa ikirejea nyumbani mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya  Kombe la Mapinduzi.
Mshabiki wa Simba SC, Willium Mazoba akizungumza na Michuzi Blog amesema kuwa amesikitishwa kwa timu yake kupoteza michuano hiyo na kuwataka walimu kujipanga kwa ajili ya ligi kuu Tanzania Bara. (Picha na Agness Francis wa Blogu ya Jamii)


Hivyo makala KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/klabu-simba-sport-yarejea-leo-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment