title : Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko
kiungo : Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko
Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akikagua jiko la gesi katika Gereza la Mahabusu Keko. Jeshi la Magereza tayari limeanza kutekeleza maelekezo ya Serikali ya kuachana na matumizi ya kuni kwa kutumia nishati ya gesi katika baadhi ya magereza nchini hivyo kutunza mazingira.
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiwa katika chumba Maalum, Gereza Keko ambapo chumba hicho kitatumika katika Uendeshaji wa Mashauli mbalimbali kwa kutumia njia ya TEHAMA. Uwepo wa mfumo huu utalipunguzia gharama Jeshi la Magereza katika kuwasafirisha Mahabusu mahakamani na kuwarejesha magerezani.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa(katikati) akiwa katika Chumba Maalum ambacho kitatumika katika uendeshaji wa mashauli kwa kutumia njia ya TEHAMA(wa kwanza kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Noel James(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Gereza Keko, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Kiangi Abdallah (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Hivyo makala Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko
yaani makala yote Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/jeshi-kamishna-jenerali-magereza-dk.html
0 Response to "Jeshi : Kamishna Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa ateta na Mahabusu Gereza la Keko"
Post a Comment