title : Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa
kiungo : Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa
Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa
Idadi ya wachezaji soka makapera inazidi kupungua. Golikipa wa klabu ya soka ya Simba, Aishi Salum Manula amejiondoa mwenyewe katika orodha hiyo.
Mchezaji huyo amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ajulikanaye kama Aisha.
Manula hakuweza kusafiri na kikosi cha Simba katika mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayoendelea huko visiwani Zanzibar kwa ajili ya kukamilisha shughuli za ndoa hiyo.
Hivyo makala Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa
yaani makala yote Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/golikipa-wa-simba-aishi-maanula-auanza.html
0 Response to "Golikipa wa Simba Aishi Maanula Auanza Mwaka Vizurii Afaniikiwa Kufunga Ndoa"
Post a Comment