title : DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA
kiungo : DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA
DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA
Baada ya kufunga ndoa mwaka jana, Dogo Janja na Irene Uwoya sasa waonyesha pete zao za ndoa.
Dogo Janja ameonyesha pete yake na kuandika >“The ring is really DOPE # weddingring na Irene Uwoya ameweka picha ya kidole chake cha kikiwa na pete yake ya ndoa”
Dogo Janja na Irene Uwoya sasa wamefanikiwa kuwaaminisha raia kuwa ni mke na mume ikiwa ni baada ya mashabiki wengi kuzidi kuwa na wasi wasi juu ya kama ni kweli palikuwa na ndoa au ilikuwa filamu au video ya bongo fleva.
Hongera kwa Dogo Janja na Irene Uwoya, tunawatakia maisha mema kwenye ndoa yenu mwaka 2018.
Hivyo makala DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA
yaani makala yote DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dogo-janja-na-irene-uwoya-sasa.html
0 Response to "DOGO JANJA NA IRENE UWOYA SASA WAONYESHA PETE ZAO ZA NDOA"
Post a Comment