title : VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
kiungo : VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki
fuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi. Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli za
Sekondariza Serikaliwakiwa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi waJimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini UngujaBaadhi ya Walimu Wakuu wa Skuli za
Sekondari za Serikali na Walimu wa Michezo
wakiwa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia)
akipokea Vifaa vya Michezo kutoka kwa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi ambavyo vitakabidhiwa kwa Uiongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na kutumika katika mashindano mbali mbali ya wanafunzi wa Skuli za Sekondari,
katikahafla iliyofanyika
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja(kulia)
akipokea Kikombe cha mashindano ya Michezo ya Skuli za Sekondari kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi,
katika hafla iliyofanyika
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,
Baadhi ya
Wanafunzi wa Skuli za
Sekondari za Serikali
wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati
wa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini UngujaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati
wa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati
wa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amalivilivyotolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
Hivyo makala VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
yaani makala yote VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/vifaa-vya-michezo-vyakabidhiwa-wizara.html
0 Response to "VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI"
Post a Comment