DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO

DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO
kiungo : DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO

soma pia


DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO


Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla (MB) ameteua Kamati maalum ambayo itaishahuri Serikali namna ya nini kifanyike katika kushughulikia athari za bonde la Kilombero lililopo Mkoani Morogoro.

Waziri Dk Kigwangalla amebainisha kuwa Kamati hiyo aliyoiteua, ndio itamshahuri juu ya bonde hilo litasimamiwa vipi pamoja na namna bora ya hatua za kuchukua ili kulinda bonde hilo ambalo lina mahitaji makubwa ikiwemo chanzo kikubwa cha maji yanayotengeneza Stiegler’s Gorge ambako Serikali imeamua kuweka mikakati ya utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme unaotarajiwa kufikia megawatts 2100 huku pia bonde hilo likiwa na utajiri wa kuwepo na aina zaidi ya 400 ya ndege pamoja na mnyama anaina ya Puku ama Sheshe ambaye hapatiani duniani kote zaidi ya Tanzania pekee.

"Hii ndio Kamati yangu, itakayonishahuri juu ya bonde ili litasimamiwa vipi. Hii ndio Kamati ambayo itanishahuri mimi na kwamaana hiyo Serikali kwa ujumla wake juu ya namna bora ya uhifadhi hususani katika eneo lile la Pori tengefu.
Waziri wa Maliasili na Utali Dkt Hamis Kigwangalla.




Hivyo makala DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO

yaani makala yote DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dkkigwangalla-ateua-kamati-bonde-la-mto.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO"

Post a Comment