Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"

Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni" - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"
kiungo : Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"

soma pia


Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"

Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha maisha ya abiria ambapo alikuwa akiendesha Basi la Kampuni hiyo linalofanya safari zake za Dar es Salaam na Wilayani Kyela Mkoani Mbeya


Kupitia Youtube tuliweka video inayoonesha namna Dereva huyo na Mwingine walivyohatarisha maisha ya abiria waliokuwa wamewabeba

Aidha Waziri wa Mambo ya Ndani, @mwigulunchemba kupitia ukurasa wake wa Instagram amekemea vikali na kuahidi kuwa Dereva yeyote atakayevunja sheria hatoachwa na mkono wa sheria.



Hivyo makala Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"

yaani makala yote Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dereva-wa-basi-la-new-force-mbaroni-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni""

Post a Comment