UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU.

UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU.
kiungo : UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU.

soma pia


UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe Selemani Jafo (Mb) amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga unaoendelea katika mito mbalimbali Jijini Dar es Salaam.


Mhe. Jafo ametoa katazo hilo wakati wa ziara yake ya kuangalia athari zilizotokana na mafuriko katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala leo 20 Aprili 2018. Akiwa katika kata ya Gongolamboto eneo la Ulongoni A na Ulongoni B, amejionea jinsi ambavyo mafuriko yaliyotokana na wingi wa mvua zilizonyesha yalivyoharibu madaraja na kuacha athari kubwa kwa wananchi. 



“Nimejionea mwenyewe jinsi ambavyo mvua hizi zimeleta athari kubwa hapa na kusababisha mawasiliano kukatika baina yenu nyinyi na wenzenu wa upande wa pili. Lakini niwaambie kuwa kwa sehemu kubwa baadhi ya wananchi wanachangia uharibifu wa maeneo haya kutokana na uchimbaji wa mchanga unaoendelea na kusababisha uharibufu katika kingo za mito pamoja na miundombinu hii iliyojengwa,” alieleza Mhe. Jafo



Waziri ameeleza kuwa miundombinu inajengwa kwa gharama kubwa na Serikali lakini wapo watu ambao wanaiharibu kwa makusudi kutokana na uchimbaji wa mchanga, hivyo akaeleza kuwa Serikali haitavumilia swala hilo.“Hatuwezi kuzizuia mvua zisinyeshe lakini hatuwezi kuvumilia kuwaacha watu wanaoharibu miundombinu na kingo za mto kwa kuchimba mchanga. Hivyo kuanzia leo napiga marufuku uchimbaji wa mchanga katika maeneo yote ya mito ya Dar es Salaam,” ameagiza Waziri Jafo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na viongozi wengine akiwemo Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema wakionyeshana  maeneo ya daraja yalivyo haribika na mafuriko.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na viongozi wengine katika ukaguzi wa athari za mvua.
 Maeneo yaliyoharibiwa na Mvua
 Maeneo yaliyoharibiwa na mvua

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU.

yaani makala yote UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/uchimbaji-wa-mchanga-kwenye-mito-dar-es.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHIMBAJI WA MCHANGA KWENYE MITO DAR ES SALAAM WAPIGWA MARUFUKU."

Post a Comment