title : DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
kiungo : DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
Mkuu wa Wilaya Ilala,Sophia Mjema akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume, inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation inayotoa elimu ya kuwakinga watoto wa kiume wasikumbwe na majanga mbalimbali.
Mkuu wa Wilaya Ilala,Sophia Mjema, akicheza na wanafunzi wa Kiume wa shule ya msingi Muhimbili wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili wakiwa katika Maandamano yenye mabango ambao walipita mbele ya mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema Kuonesha hisia zao.
Mkurugenzi wa Dahuu Foundation, Husna Abdul akizungumza kabla ya kumkaribisha mkuu wa Wilaya kufanya uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation
Hivyo makala DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
yaani makala yote DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dc-mjema-awakumbusha-wazazi-umuhimu-wa.html
0 Response to "DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME"
Post a Comment