CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA

CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA
kiungo : CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA

soma pia


CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA

Shirikisho la Mpira wa miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi watakaochezesha mchezo wa kwanza na mchezo wa pili wa Ligi ya mabingwa Africa kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Saint Louis FC ya Seychelles.

Mchezo wa kwanza utachezwa Februari 10, 2018 uwanja wa Taifa na utachezeshwa na waamuzi kutoka Ethiopia na Kamishna wa mchezo akitokea nchini Namibia.

Mwamuzi wa kati atakuwa Belay Tadesse Asserese akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Tigle Gizaw Belachew na mwamuzi msaidizi namba mbili Kinfe Yilma Kinfe wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Amanuel Heleselass Worku na Kamishna Frans Vatileni Mbidi.

Mechi ya pili itakayochezwa Seychelles kati ya Februari 20 na 21,2018 itachezeshwa na waamuzi kutoka Madagascar na kamishna atatoka Mauritius.

Mwamuzi wa kati atakuwa Andofetra Avombitana Rakotojaona akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Lionel Hasinjarasoa Andrianantenaina na mwamuzi msaidizi namba mbili Pierre Jean Eric Andrivoavonjy na mwamuzi wa akiba Hamada el Moussa Nampiandraza,kamishna wa mchezo huo Ahmad Nazeer Hossen Bowud.


Hivyo makala CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA

yaani makala yote CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/caf-yataja-waamuzi-watakaochezesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA MABINGWA"

Post a Comment