title : Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake
kiungo : Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake
Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake
Mtu mmoja nchini Kenya mwenye umri wa miaka 35 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kubaka mbuzi wawili wa jirani yake, na kisha kuwaua.
Tukio hilo limetokea Januari 13 mwaka huu, baada ya watu kumuona akiwaburuza mbuzi hao kutoka porini ambako anahisiwa kufanya tukio hilo, katika eneo la Kangundo
Waendesha mashtaka wametaka mbuzi hao wapelekwe kufanyiwa vipimo ili kubaini kama kweli wamefanyiwa kitendo hicho, na kutaka mshtakiwa kupatiwa matibabu baada ya kulalamika alipigwa vibaya na polisi walipoenda kumkamata.
Kesi hiyo imehairishwa mpaka Januari 29, na mshtakiwa kupewa dhamana ya shilingi 100,000 za Kenya.
Sheria za Kenya zinamtaka mtu atakayekutwa na hatia ya kufanya ukatili kama huo kwa wanyama kwenda jela kwa miaka 14.
Hivyo makala Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake
yaani makala yote Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/atiwa-mbaroni-kwa-kubaka-mbuzi-wawili.html
0 Response to "Atiwa Mbaroni Kwa Kubaka Mbuzi Wawili wa Jirani Yake"
Post a Comment