title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI
Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Lindi aliyen'gatuka, Ali Mtopa baada ya kufungua mkutano mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afungua.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI"
Post a Comment