WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018

WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018
kiungo : WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018

soma pia


WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said.

WAKATI Mwaka 2017 ukifikia ukingoni taasisi mbaliombali nchini zimeanza kuwakusanya watumishi wake na kufanya tathmini ya utendaji na kujadili namna ya kuzikabili changamoto walizokutana nazo ili hatimaye kuongeza ufanisi mwaka ujao 2018.
Miongoni mwa taasisi hizo ni Mwalimu Commercial Bank, (MCB), ambao wamekutana jijini Dar es Salaam, ili kufanya tathmini ya kiutendaji na kuweka mikakati mipya waingiapo mwaka 2018.
Wafanyakazi hao kutoka idara mbalimbali wakiongozwa na Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi pia walipatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali ya kiuwajibikaji katika maeneo tofauti kutoka kwa mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka.
Ili kuonyesha ushirikiano wafanyakazi hao walibadilishana zawadi mbalimbali ambapo kila mfanyakazi alimuandalia zawadi mfanyakazi anayemvutia zaidi kiutendaji.

 Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizunumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizunumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizunumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
 Wafanyakazi kwa utulizvu kabisa wakisikiliza kilichokuwa kikizunhgumzwa.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018

yaani makala yote WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wafanyaakazi-mwalimu-commercial-bank.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018"

Post a Comment