title : MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI
kiungo : MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wachama cha mapinduzi mkoa wa ruvuma ODDO KILLINI MWISHO amesema chama hicho katika mkoa wa ruvuma kimekubwa na ukabila kwa baadhi ya ujumbe wa chama hicho,baada ya kuonekana baadhi ya wilaya zimekuwa na ukabila.hayo ameyasema kabla ya uchaguzi mkuu wa chama hicho mkoa wa RUVUMA kufanyika leo ukisimamiwa na waziri husseni mwishi ambaye pia mlezi katika mkoa huo, huku naye akiomba ridhaa ya kurudi tena madarakani kuweza kukitumikia kwa miaka mitano tena ijayo.
Hivyo makala MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI
yaani makala yote MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-chama-cha-mapinduzi-mkoa.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI"
Post a Comment