title : WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA
kiungo : WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA
WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA
Wadau wa mazingira nchini Tanzania wameombwa kujitokeza kuinusuru wilaya ya Gairo ambayo inahekari zaidi ya 3,000 zilizokuwa zimevamiwa waharibifu wa mazingira.
Kauli hiyo imekuja hivi karibuni baada ya Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Shaidi Mchembe kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa lakuwaondoa wavamizi wa Misitu ya Hifadhi kabla ya Disemba 31, 2017.
Waziri Mkuu alitoa maagizo hayo alipokuwa akiahitisha Bunge la mjini Dodoma Novemba 18, 2017. Kati ya maeneo ambayo yalikuwa na uvamizi na uharibifu mkubwa wa mazingira ni Misitu ya Hifadhi Wilaya ya Gairo.
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Shaidi Mchembe akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya vikao na wananchi huku wakipitia muhtasari ya vikao vya nyuma vya ushirikishwaji kuanzia ngazi ya Kijiji, Kata, Wilaya hadi Mkoa vya kuwaondoa wavamizi hao.
Aidha kupitia taarifa ya mpango wa matumizi bora ya ardhi ya kijiji hicho ambayo ilisomwa na mwenyekiti wa Kijiji ikibainisha utengwaji wa maeneo mbalimbali zikiwemo ekari 1,000 za hifadhi walizogawiwa wananchi kwa ajili ya kilimo.
Wananchi wakifuatilia mkutano huo.
Vibanda vya wavamizi wa Hifadhi ya Misitu Gairo vikiteketezwa kwa moto.
Hivyo makala WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA
yaani makala yote WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wavamizi-wa-hifadhi-ya-misitu-wilayani.html
0 Response to "WAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI YA GAIRO WAONDOLEWA"
Post a Comment