WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.

WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.
kiungo : WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.

soma pia


WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.

Na Mwandishi Wetu.
WASHINDI 20 wa promosheni ya Mlimani City Shoping Fest wamepatika mara baada ya kucheza droo iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mlimani City jijini Dar es Salaam ambao ni Grace Mushi,Samson K. Samson,Grace Hoka, Mnyamani, Mushi Kimaro, Judith Shayo, Erick Msumati, Gwamaka Hezron, Ally Nyaga, Amani Sepetu, Masood Wanani, Jonathan Nkya, Hellen Mngutu, Omary Khary, Linda Bahati, Agrum Maringo, Saidi Kheri, Paul Charles, Beatrice Kaswaga na Suzan Said.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa Kampeni hiyo, Neema Utouh alisema mpaka sasa jumla ya washindi 40 wamepatikana tangu Kampeni hiyo izinduliwe rasmi na tayari zawadi zao za vocha ya kufanya manunuzi yenye thamani ya Shilingi 100,000 kila mmoja wameshapatiwa.
Alisema Neema, ni nafasi yakow ewe ambaye hujaja kufanya manunuzi mlimani City karibia fanya manunuzi ya shilingi laki moja au zaidi utapewa kuponi ambayo itakuwezesha kuingia moja kwa moja kwenye droo ya ushindani.
Hii ni wiki ya pili taku promosheni hii izinduliwe na bado wiki tatu ambapo mwisho kabisa kutakuwa na droo kubwa ambayo mshindi mmoja atajishindia vocha yenye thamani ya shilingi 10,000 000 ambayo itamuwezesha kufanya manunuzi duka lolote ndani ya Mlimani City pamoja na washindi watano watakaojishindia vocha yenye thamani ya shilingi milioni moja kila mmoja.
 Coordinator/Mratibu wa promosheni ya fanya manunuzi mlimani City na ushinde(Grand Shopping fest), Neema Utouh akichanganya kuponi ili kupata washindi 20 wa droo ya pili wa vocha ya thamani ya Shilingi 100,000 kila mmoja ya kufanya manunuzi tena katika duka lolote ndani ya Mlimani City iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mlimani City Dar es Salaam.Wengine ni mabalozi wa Promosheni hiyo.
 Coordinator/Mratibu wa promosheni ya fanya manunuzi mlimani City na ushinde(Grand Shopping fest), Neema Utouh akifungua kuponi ya msindi wa kwanza wa droo ya pili wa vocha ya thamani ya Shilingi 100,000 ya kufanya manunuzi tena katika duka lolote ndani ya Mlimani City iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mlimani City Dar es Salaam.Wengine ni mabalozi wa Promosheni hiyo.
Coordinator/Mratibu wa promosheni ya fanya manunuzi mlimani City na ushinde(Grand Shopping fest), Neema Utouh(kushoto) akimkabidhi vocha ya thamani ya Shilingi 100,000, Grace Mushi mara baada ya kuibuka mshindi katika droo ya pili ya promosheni ya fanya manunuzi Mlimani City na ushinde(Mlimani City Grand Shopping Fest) iliyofanyika Mlimani City mwishoni mwa wiki.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.

yaani makala yote WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/washindi-wa-droo-ya-pili-mlimani-city.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA."

Post a Comment