title : Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao
kiungo : Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao
Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao
Dk, Faiza Kassim Suleiman, akitowa taaluma kwa Watendaji wa Serikali wa ZRB Pemba,jinsi wanavyotakiwa kujikinga na maradhi ya kuambukiza ikiwemo maradhi ya Sukari ambayo yameonekana kuwa tishio Zanzibar na
Duniani kwa ujumla.
Dk, Faiza Kassim Suleiman, akitowa taaluma kwa Watendaji wa Serikali wa ZRB Pemba,jimsi wanavyotakiwa kujikinga na maradhi ya kuambukiza ikiwemo maradhi ya Sukari ambayo yameonekana kuwa tishio Zanzibar na
Duniani kwa ujumla.
Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) , wakifuatilia kwa makini taaluma wanayopatiwa na Dk, Faiza Kassim Suleiman, mtaalamu wa maradhi ya Sukari kutoka Hospitali ya Mnazi mmoja Unguja.
Watendaji wakuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar ( ZRB) Pemba, wakifuatilia matokeo ya upimaji wa maradhi mbali mbali kwenye vyeti vyao , juu ya viashiria vya maradhi waliyonayo .
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
Hivyo makala Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao
yaani makala yote Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/watendaji-zrb-pemba-wapimwa-afya-zao.html
0 Response to "Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao"
Post a Comment