title : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk(kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma ikiwa ni baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/spika-job-ndugai-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO MJINI DODOMA"
Post a Comment