Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waumini wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika Sala ya kuuombea mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni Mama Mzazi wa Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa , Sala iliyokuwa ikiongozwa na Sheikh Nomani Jongoo katika msikiti wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara nje kidogo ya mji wa Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni, wakati wa mazishi yake yaliofanyika katika makaburi ya Kijiji kwao Kwarara Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Sheikh Sharif Abdurahaman akisoma dua katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni baada ya mazishi yake yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Nje Kidogo ya Mji wa Zanzibar leo.



Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ashiriki katika Mazishi ya Marehemu Bi. Mtumwa Mgeni leo."

Post a Comment