WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.

WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.
kiungo : WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.

soma pia


WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.

 Na David John

BAADHI ya wananchi wa Kigamboni Gezaulole Kata ya Somangila mtaa wa Mwela jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kulipa fidia kwa wananchi hao ambao walitakiwa kupisha ujenzi shiriki wa mpango Mji.

Wamesema kuwa ni muda mrefu sasa umepita hawajuwi mstakabali wa fidia hiyo nakudai ni vema serikali ikafanya haraka kuwafidia ili waondokane na hali ngumu wanazokutana nazo.

Akizungumza kwaniaba ya wezake mmoja wa waathirika na mchakato huo Marando Nyanda alisema wakati wanaambiwa wapishe tayari wao walikuwa na mazao mbalimbali ambapo Serikali walisema watafidia.

"Sisi kwa kutambua umuhimu wa mradi huu tulikubaliana na Serikali kwamba wangetufidia lakini cha ajabu hadi kufikia leo sisi baadhi ya wakazi wa maeneo haya hatujalipwa. "amesema Marando

Ameongeza kuwa mchakato huo ulikuwa shirikishi lakini hadi kufikia leo watu zaidi ya 160 hawajuwi mstakabali wa malipo yap na kudai nimiaka mitano imepita sasa.

Wananchi hao amesema hakuna asijuwa juu ya jambo hilo kuazia mkuu wa mkoa hadi mawaziri wenye dhamana wanajuwa huku wakimtaka Rais Magufuli kuingilia kati suala hilo ili wao wapate haki zao.

Akizungumzia jambo hilo Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula alisema kuhusu jambo hilo wananchi hao wanatakiwa waende katika ofisi za halmashauri ya kigamboni.

Alisema kuwa kuhusu uboreshaji wa mpango mji katika halmashauri hiyo upo chini ya halmashauri hiyo ya kigamboni hivyo nivema wakafika huko au kuonana na Mkuu wa wilaya hiyo ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo.
 
Marando nyanda mmoja wa wakazi wa Kigamboni Gazaulole ambaye anasotea fidia ya kupisha ujenzi shirikishi wa mpango mji katika eneo hilo picha na David John.  


Hivyo makala WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.

yaani makala yote WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wananchi-wa-kigamboni-gezaulole-waiomba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI."

Post a Comment