title : NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA
kiungo : NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa kamati hiyo, Mheshimiwa CAO Weizhou (wa pili kulia) wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, pale ugeni huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kulia) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimpatia zawadi Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China wakiongozwa na Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto waliokaa) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA
yaani makala yote NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-spika-dkt-tulia-ackson-akutana-na.html
0 Response to "NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA"
Post a Comment