title : WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO
kiungo : WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO
WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO
Mwanaharakati wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana Initiative , Rebeca Gyumi akizungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya Habari juu ya haki za Mtoto na vita dhidi ya Ndoa za Utotoni zinazoendelea nchini.
Mtaalamu wa kupigania Haki za Watoto kutoka Taasisi ya Save The Children, Neema Bwaira akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo Mbalimbali vya Habari hapa nchini wakati wa Semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam
Mtaalamu wa Masuala ya Haki za Watoto kutoka nchini Thailand anayefanya kazi na Taasisi ya Save The Children nchini, Yui Mutomol akitoa Elimu kwa Waandishi wa Habari waandamizi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa Makini wakati wa semina ju ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya habari waliohudhuria Semina juu ya haki za mtoto iliyoandaliwa na Tasisi ya Save The Children nchini
Hivyo makala WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO
yaani makala yote WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wanahabari-wafundwa-juu-ya-umuhimu-wa.html
0 Response to "WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATOTO"
Post a Comment