title : Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake
kiungo : Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake
Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake
Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.
“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba... We swala la Kutafta ela niachie mie... Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao.....Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.
Hivyo makala Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake
yaani makala yote Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/ujumbe-wa-diamond-kwa-mwanaye-wawakera.html
0 Response to "Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake"
Post a Comment