title : TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI
kiungo : TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI
TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI
Kampuni ya Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC), imetoa zawadi ya Sikukuu ya Krismas zenye thamani ya Shilingi Milioni Mbili (Shilingi 2,000,000) kwa Kituo cha Watoto yatima cha Kiwalani (Kiwalani Orphanage Centre) kilichopo jijini Dar es Salaam.
Zawadi hizo zimekabidhiwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Bw. Oscar P. Mgaya kwa Mkurugenzi wa Kituo hicho, Mchungaji Elias Mwakalukwa -, katika ghafla iliyofanyika kwenye Kituo hicho kilichopo jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa zawadi zilizotolewa kwa kituo hicho cha watoto yatima ni pamoja na mchele, mafuta ya kupikia, unga wa sembe, maharage, sabuni za kufulia na kuogea, sukari , chumvi, dawa za meno, majani, kalamu na madaftari
“Kwa upendo wetu wa dhati kabisa tumeona umuhimu wa kushiriki pamoja na watoto yatima, ambao wapo katika mazingira magumu, katika kusherehekea Sikukuu ya Krimas mwaka 2017,” alisema Bw. Mgaya.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI
yaani makala yote TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/tmrc-yatoa-msaada-kwa-watoto-yatima.html
0 Response to "TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI"
Post a Comment