title : TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE
kiungo : TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE
TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE
Mayage S.Mayage enzi za uhai wake.
Tunasikitika kuwatangazia kuwa mwenzetu Mayage S Mayage tuliyekuwa tukijichangisha kwa ajili ya matibabu yake, ametutoka
Kwa mujibu mke wa Marehemu,Digna Mayage, mwenzetu amefariki majira ya saa 3 asubuhi, leo Desemba 25, 2017, kwenye hospitali ya Misheni Mbweni alikokuwa amelazwa
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Mbweni.Tutapeana taarifa zaidi kadri tutakapozipata
Bwana alimtoa na sasa ameamua kumtwaa
Jina lake lihimidiwe
Ni Sisi Admins

Hivyo makala TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE
yaani makala yote TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/tanziataarifa-ya-kifo-cha-mwandishi-wa.html
0 Response to "TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE"
Post a Comment