Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi

Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi
kiungo : Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi

soma pia


Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi

 Askofu wa kanisa laKatoliki jimbo la Zanzibar, Augustino Shao (mwenye fimbo) akiingia kwenye kanisa
 la Mtakatifu Joseph kuongoza Ibada ya mkesha wa Krismas jana.
  Askofu Shao akitoa ujumbe wa Krismasi kwenye mkesha huo jana.
  Baadhi ya waumini waliohudhuria Ibada ya mkesha wa Krismasi wakimsikiliza Askofu Shao.
 Waumini wakiwa katika foleni kutembelea pango alikozaliwa mtoto Yesu kwenye mkesha wa Krismasi jana.
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ayoub Mohamed (pichani) alitembelea kanisa hilo akifuatana na baadhi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi kuangalia usalama kwenye mkesha huo ambapo alipata fursa ya kuongea na waumini wa kanisa hilo

Picha zote na Martin Kabemba.



Hivyo makala Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi

yaani makala yote Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/askofu-shao-aongoza-ibada-ya-mkesha-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Askofu Shao aongoza ibada ya mkesha wa Krismasi"

Post a Comment