TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
kiungo : TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

soma pia


TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

=====  =====  ===
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  kuwatangazia Vyama vya Siasa na umma kwa ujumla kuwa kikao na Semina ya  Baraza la vyama vya Siasa vilivyokuwa  vifanyike  siku ya  tarehe 21 na 22 Desemba 2017, Jijini Dar es salaam vimeahirishwa hadi hapo tarehe nyingine itakapopangwa.

Kikao hicho kimehirishwa kwa ajili ya kutoa fursa kwa Vyama vya Siasa na wadau wa Vyama vya Siasa  kushiriki katika  shughuli za  uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika 13 January 2018.  Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza  kutokana na mabadiliko hayo.


Jacqueline Kilama
Kny. MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
19 Disemba, 2017



Hivyo makala TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

yaani makala yote TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/taarifa-kwa-ya-kuahirisha-kikao-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA"

Post a Comment